Good job Mr. President....Though I think the media was a bit soft on him....maybe a similar session with the so called Political analysts .... The ngunyis, mutulas, kutunys etc....
Safi sana...Ahojiwa neno kwa neno na wanahabari ambao hawakukawia kumsakama na maswali ya kila aina bila kuonyesha uwoga.
Aahidi kupokeza mkataba wote wa SGR kwa wanahabari, waukague kurasa kwa kurasa, herufi kwa herufi....