Video: Rapa RICK ROSS Ametua jijini Nairobi tayari

Huyu jamaa mimi sauti yake tu...
yani watachana watu wote wakina kendric lamar,Drake,kanye nk lakini uyu jamaa akitoa verse hata haina maana namkubali sauti yake kishenzi....

Kwenye wimbo wa wakawaka kila saa naskiliza "Black bottle Boys"
*Big bosses everywhere we go we run streets,never gossip am only for the big talk"

kama Hip hop majigambo jamaa anayaweza na sauti anayo
 
Hata mimi sauti yake tu, mi hoi
 
Hatari sana zaidi nazimia ngoma yake inaitwa john yuko na Wayne nyingine kapewa shavu na meek mill boss

akisemaga nhooooo lazima ukae[emoji1]
 
Tupo wengi mkuu, playlist yangu ina ngoma zake kibaooooo, HUH
 
Haaaaaaaaaaa roseeeeeeeeeeeeee tuko pamoja
 
Mkuu samahani nikuulize we ni ke au me?
 
Kupunguza unene inawezekana Rick Ross kapungua sana kawa vizuri mno team vitambi byee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…