Video: Ray C azungumzia madawa ya kulevya

Video: Ray C azungumzia madawa ya kulevya

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325
Pia hataki viseregeti. Ni vibabu kwa kwenda mbele.

[video=youtube_share;6NSAjS6ARV0]http://youtu.be/6NSAjS6ARV0[/video]
 
Huyu sporah huwa ni nani? Naona anaboronga kizungu 11:12 anamuuliza hukua na confident mpka ukaanza kutumia madawa. Wa nn tusitumie kiswahili tu wajameni? Wacha umbumbumbu kuwa ukiandika ama kuongea kizungu unakuwa na hadhi ya juu!

Ray c kajibu vizuri sana
 
We hadi unamuulizia Sporah inaonesha kweli humjui. Huyu dada anafanya hicho kipindi na lengo lake ni kufiakia audience zaidi ya watanzania ndo mana ukiangalia kipindi chake wakati mwingine atahoji kwa lugha ya kingereza interview nzima na wakati mwingine akiwa anamuhoji mtanzania basi atatumia lugha ya kiswahi na kingereza.

Kwa dunia ya sasa na nchi kama Tanzania kuongea kingereza haiepukiki, sio kila wakati mtu anapoongea kingereza lengo ni kujionesha kwamba anajua kunakuwa na sababu nyingi sana za kibiashara.
 
Big up ray c kwa kuliacha teja la nako 2 nako sijui power window au rim za dimpoz(fid q).
 
Back
Top Bottom