Video: RC Mongella akikaribisha watalii wa KIA

Video: RC Mongella akikaribisha watalii wa KIA

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
IMG-20220606-WA0027.jpg
Hii ni habari mbaya kwa wasiopenda mafanikio ya Rais Samia hasa kwenye "Royo Tua".

Mama Samia tunakuambia piga kazi watakaa kimya wenyewe.
 
Mbona ina Ramani ya. bongo iyo ndege
 
Huyu RC amezubaa Sana watu walikua wanajipigia tu mpaka PM alivokuja akaokoa jahaz
 
Jamaa wanalipwa pesa ndefu huku hawana majukumu kabisa asee, huyu RC amegeuka muongoza watalii tena?
 
Back
Top Bottom