Video: RC wa Simiyu Kenan Kihongosi ni Nyota Inayoibuka Kwa Kasi ndani ya CCM.Vibe Lake Lafuta Upinzani Simiyu.

Video: RC wa Simiyu Kenan Kihongosi ni Nyota Inayoibuka Kwa Kasi ndani ya CCM.Vibe Lake Lafuta Upinzani Simiyu.

Kihongosi anafuta kitu ambacho hakikwepo hapo awali...maajabu haya yatakwisha lini?
 
Hazina yenu kubwa ya uongozi mliyonayo ccm kwa sasa ni Luhaga Mpina. Wengine hamna kitu,ni uchawa tu ndio umewajaa.
Yule ni takataka no one pays attention to him labda nyie Chadomo.
 
Ndio hao wanaoletwa baada ya kukusanywa na magari tu. Vyeo vya kikada vya kutafuna tu kodi za wananchi. Aisee, mnajua kweli kutafuna kodi za wananchi.
Subiria kichapo Oktoba 2025
 
Hawa wahuni ndio waliibuliwa na Magufuli wakawa wanajichukulia sheria mikononi, naamini ipo siku waliofanyiwa hivi watapata haki yao kwa udhalilishaji waliofanyiwa.

Mhuni kama huyu hawezi kuwa mwanamageuzi na hawezi kufuta upinzani ambao hata Magufuli mwenyewe alijifia bila kuua.
images (90).jpeg
 
View attachment 3252329
Wapuuzi lazima washikishwe adabu
 
Back
Top Bottom