VIDEO: Rich Mavoko(KokoroMaster) alivyotikisa kwenye After Skul Bash

Naona unazidi kumvuta mtoto mzuri Nifah usafini, tuanze kumuita wifi? Nataka go ahead
 
Wanaume wa dar bwana
Hii kitu ya 'Wanaume wa dar' ina mahala pake kama vile habari za Panya road, watoto wa Mbwa, scorpion n.k. Ila kwenye habari kama hizi ukiingizia hiyo mambo unakua kama umejificha nyuma ya pazia la chuki kwa kigezo cha uanaume wa Dar. Hilo shangwe hata angekuwa huku kwetu Katavi angelipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…