Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

N.. usa river viwanja
Video ya uthibitisho? His gravest mistake ilikuwa ni kutoka WCB, artist ambaye alishapotea then WCB ikamrudisha kwenye ramani ya muziki ndiyo akaja kushikwa masikio kwamba yeye ni artist bora zaidi ya Diamond hivyo anakubalije kuwa chini yake huku akisahau kwamba SHOWBIZ inahitaji uwekezaji wa fedha na sharp minded management.
 
Very constructive argument
 
Sisi tunaolima vibalua ili kuishi, tunaona Rich Mavoko bado anapata kipato kikubwa kumsapoti kuishi

Imagine anafanya show za hivyo 5 Kwa Mwezi, na Kila Show analipwa Ujira wa shilingi 400,000

Inamaana Kwa Mwezi anaingiza milioni 2 hivi

Kama anaishi DSM, Kwa Kulipa Kodi ya nyumba, Maji, Umeme, Mafuta Kwenye gari yake n.k anaweza kubaki na Chenchi kama akiba zaidi ya laki 2 hivi

Sio lazima uwe Tajiri kama Dangote, lakini Kwa kidogo hicho hicho anachopata kinamtosha kuweza kuishi maisha standard kuliko masikini wengi tuliopo Tanzania
 
Back
Top Bottom