Sisi tunaolima vibalua ili kuishi, tunaona Rich Mavoko bado anapata kipato kikubwa kumsapoti kuishi
Imagine anafanya show za hivyo 5 Kwa Mwezi, na Kila Show analipwa Ujira wa shilingi 400,000
Inamaana Kwa Mwezi anaingiza milioni 2 hivi
Kama anaishi DSM, Kwa Kulipa Kodi ya nyumba, Maji, Umeme, Mafuta Kwenye gari yake n.k anaweza kubaki na Chenchi kama akiba zaidi ya laki 2 hivi
Sio lazima uwe Tajiri kama Dangote, lakini Kwa kidogo hicho hicho anachopata kinamtosha kuweza kuishi maisha standard kuliko masikini wengi tuliopo Tanzania