Video: Rostam Aziz awasili Monduli kumuaga Lowassa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Mfanyabishara, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha kushiriki shughuli za kuaga mwili wa Lowassa zinazoendelea nyumbani kwake leo Ijumaa.

Your browser is not able to display this video.
 
mtaalam wa kula na vipofu..............jamaa hata kipindi cha JPM hakua na shida
 
Amemtelekeza mama ziarani!!?
 
Mbunge Mstaafu wa Igunga Bilionea Rostam Aziz aliyekuwa Nje ya Nchi kwa shughuli za Kitaifa amewasili nchini na Moja kwa Moja amekwenda Monduli kumzika ndugu yake Edward Lowasa

Rostam amepokelewa na Wanafamilia na Moja kwa Moja ameanza Majukumu ya Msibani nyumbani kwa Lowassa

Credit: Mwanahalisi Digital
 
Weka picha tumuone Alfa na omega
 
"Bilionea aliyekuwa nje ya nchi kwa shughuli za kitaifa"

Bado naendelea kuyatafakari hayo maneno bwashee .

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kumbe uko km Mimi. Nimewaza sana, hivi ana cheo/nafasi gani serikalini hadi kwenda nje ya nchi kufanya kazi za kitaifa.

Tz kuendelea labda wote wenye kufikiri kwa kutumia matumbo wafe kije kizazi kipya vinginevyo haitawezekana kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…