Video: RPC Muroto awaumbua Ndugai na mamluki wake


Yaani waliopanga na kutekeleza wanavyojiyetea bungeni hadi unashangaa
Sasa kwa Maelezo hayo ya RPC Muroto tunatakiwa tumuamini nani, kati yake na Spika Ndugai na wabunge wake wa CCM wanaosema kuwa Mbowe, alianguka kwenye ngazi kutokana na kulewa??

Kwa kuwa RPC Muroto anaeleza wazi kuwa Mbowe alivamiwa na watu wasiojulikana, waliomshambulia na kumuumiza.......

Wakati timu yake Ndugai inadai kuwa Mbowe alianguka kwenye ngazi kutokana na ulevi wa kupindukia!
 
Lipi lakweli mateke au FaruJoni?
Zile ni kauli za mashetwain.....kauli ya kamanda inasimama kama hawakumtonya mapema it's not our problem.

Wacha waumbuke..hawana ubinadamu kabisa!!
 
Hapa mi naona kama kuna kamtego fulani hivi, ila ngoja tusubiri muda utaongea
 
Lipi lakweli mateke au FaruJoni?
Zile ni kauli za mashetwain.....kauli ya kamanda inasimama kama hawakumtonya mapema it's not our problem.

Wacha waumbuke..hawana ubinadamu kabisa!!
 
Zile ni kauli za mashetwain.....kauli ya kamanda inasimama kama hawakumtonya mapema it's not our problem.

Wacha waumbuke..hawana ubinadamu kabisa!!
Watasema hiyo ni cookedVoice 😀😀
 
Usishangae kesho kumsikia Murroto akidai alinukuliwa vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…