Video: RPC Muroto awaumbua Ndugai na mamluki wake

Mabeberu hukolezwa na wananchi wenyewe ndio wafanye Yao!

Sasa wananchi wataanzaje kufanya vikolezo ili Hali wanasiasa wenyewe wanawaongopea wananchi wao?

Wanafanya matukio ya uwongo
Nilishangaa eti JPM akiwa waziri aliwekewa sumu kwenye chakula... Juzi juzi eti Mzee wetu Mangula aliwekewa sumu na karibia afe. ....yaani matukio ya uong kabisa
 
Hamna cha magoli wala nini. Imefika muda kwa Mwamba tuvushe kuachana na Faru John sasa.
Achana nao hao ...hao hao walisema eti Jembe aliwekewa sumu kwenye chakula wakati akiwa waziri...juzi juzi wakatengeneza uongo eti Mzee wetu Mangula nae alilishwa sumu na kudondoka baada ya kikao cha kumfukuza Membe...yaani
SUMU TUVUSHE
 
Achana nao hao ...hao hao walisema eti Jembe aliwekewa sumu kwenye chakula wakati akiwa waziri...juzi juzi wakatengeneza uongo eti Mzee wetu Mangula nae alilishwa sumu na kudondoka baada ya kikao cha kumfukuza Membe...yaani
SUMU TUVUSHE
sumu ya Mangula ilithibitishwa na Lazaro Mambosasa
 
Hayo ni maelezo ya awali ambayo aliyapata toka kwa Mbowe, sasa kuna lipi la ajabu hapo?
Sasa kama hakuna cha ajabu mbona mpumbavu mmoja pamoja na baba mkwe wake wanapotosha ukweli kama nashoga yaliyofokonyolewa.
 
Unajua maisha yako pelekea kama masoud kipanya
 
mtapanua sana magoli , sasa kuna tetesi kwamba kwa video hii Murroto anahamishiwa makao makuu na uchunguzi umesitishwa , lakini teknolojia imehifadhi kumbukumbu

Mkuu. Kwa akili yako finyu unaamini kabisa atumwe mtu kumpiga mateke kiongozi wa kisiasa. Uchaguzi Oktober. Tuache Hilo. Na corona Hii Mheshimiwa alitoka kwenda wapi. Ungekuwa wewe adui wa Mbowe utaenda mvunja tu mguu. Ili iweje. Please mr fuata mkumbo can you at least for once use your reason and write something logical.
 
sibishani na mbumbumbu anayelipwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…