Video: RPC Muroto awaumbua Ndugai na mamluki wake

Hakika! Jitahidi kujua parameters za upelelezi na utoaji taarifa. Lazima kupelelezwe tukio na wahusika na sio wahusika wa tukio tuu. Maana unaweza ukawa unapeleleza wahusika hewa kukiwa na tukio hewa.
Huna lolote !
 
Lijualikali na baba mkwe wake wameumbuka!! Aisee!!
Haya. Huyu mkuu anakubali Mbowe alishambuliwa kwa mateke. Ndugai na waheshimiwa wengine wanasema aliangushwa na ulevi mzito aliokuwa nao. Tushike la nani? Kuna utata. Tusubiri yeye atakaposema. Hata hivyo hii ni hatari sana kwa taifa.
 
Ndugai,Msukuma,Kibajaj,Lijualikali......itabidi waombe radhi.
 
Kwani tupo zama za kale ?
 
Unadhani sote ni wajinga kiasi hicho? Weka clip nzima na sio vipande! Ma modds wenyewe humu nawashangaa kuruhusu vitu vya kizushi.
Hauwezi anguka kwenye ngazi alafu usiumie kabisa mkono au kichwa ni swala la akili tu, kwahiyo muroto Yuko sahii 💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…