VIDEO: Sakata la Halima Mdee na wenzake 18 waliokuwa wanachama CHADEMA kufutiwa uanachama; Je, kuna anayemwelewa Spika Ndugai hapa?

Mithali 25:26 Anenapo maneno mazuri usimsadiki; Kwa maana ana machukizo saba moyoni mwake.......CCM ni moja ya machukizo duniani...Walipomfukuza Sofia Simba Mwenyekiti wa UWT Chadema walitia neno?
 
Li spika la hovyo zaidi duniani.
 
Ndugai alisema mwenyewe akiwa anaongoza kikao cha bunge, "nina file Mirembe", mwisho wa kunukuu.
 
Ndugai ni mgonjwa wa akili kitambo sana;Unakumbuka ule mwaka alipomchapa fimbo kada mwenzake wa ccm hadi akazimia?.Sijui kwanini walimpa Uspika huu mwehu.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Kiburi cha madaraka... Kaona yupo ya kila kitu.. Katiba iko wazi kuhusu ubunge kokoma na msekwa kakazia... Yeye ni Nani haheshimu katiba na kuivunja hadharani...
 
Hitler alikuwa ana uwezo wa kumgeuzia kibao mtu mwema na kutangaza mara kibao na ukawa ukweli. Imperial Japan nao walifanya hivyo kwa miaka mingi. Wao CCM pamoja na serikali ndiyo wametesa watu sasa wanasema ati Mbowe ndiyo kafanya. Na watu waliojitoa akili kutokana na njaa zao na matumbo yao kimyaaa wanashangilia na vigelegele kama vile ni kweli maneno anayosema Ndugai.

Hii inatokea kweupe na watu humu wana amini. Ulishawahi kufikiri kitu kama hiki kitatokea Tanzania, yes it is here now, Not in Nigeria, Not in Zimbabwe, but here in Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…