Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,107
Ninachojua babu tale ni potter (mbeba mabegi) japo anapata za kumtosha.sio Baby Tale? ha ha
Halafu anaongea kwa kujiamni sanaKwa Maelezo ya huyu Sallam ndio maana Diamond anafanikiwa asee jamaa anaijua kazi yake
sana yaani.Halafu anaongea kwa kujiamni sana
he he he he heNinachojua babu tale ni potter (mbeba mabegi) japo anapata za kumtosha.
Hahahahahahaha ttzo lake anajifany yuko juu hahahaKwa jinsi anavyo ongea inaonekana kabisa yuko kishari, huyu meneja amehusika kabisa mi nahisi kwa kweli
kwa Ali Kiba alivyo hashindwi kumgomea aiseeHahaha maybe, wangemgomea criss Brown pia basi
Kwa jinsi anavyo ongea inaonekana kabisa yuko kishari, huyu meneja amehusika kabisa mi nahisi kwa kweli
yeees na kumuuliza maswali ya msingi kabisa.
anamuuliza watu wanataka kujua ulifata nini kwenye show?
je ni kweli ulikua back stage? kwanini?
hakuishia hapo akamuita na Dj Mkuu aliekua pale stage.
Dj anasema alivyokua anajua yeye baada ya Vannesa alitakiwa Kiba lkn akashangaa amepiga mziki saa zima bila kiba kutokea.
kwa maelezo hayo ukichaaa wa Kiba unazidi kuonekana
Ndio maana ya kua managerKwa Maelezo ya huyu Sallam ndio maana Diamond anafanikiwa asee jamaa anaijua kazi yake
Swala sio pesa kurudi point ya msingi lengo la ile interview aliefanya kiba na kutoa malalamiko halijatimia, zaidi ishu ime backfire kwake mwenyeweKwani hela karudisha?????
Kama pesa imeingia.bado amepata faida.angerudisha pesa hapo ingekuwa tatizo.Swala sio pesa kurudi point ya msingi lengo la ile interview aliefanya kiba na kutoa malalamiko halijatimia, zaidi ishu ime backfire kwake mwenyewe
Anajicompare na wizkid as yuko Juu zaid ya wizkid kimziki au kiumri nadhani anamzidi kiumri hapo kimziki hata robo hamfikii wiz ......Kiba analazimisha eti apande Wizkid kwanza, huyu Kiba Level yake haijui kabisaa.Bora walivyo mzimia mic ndio atajua.
Amen [emoji120] [emoji120]Mimi huruma yangu ya dhati imuendee jokate mwegelo kwa kubeba huu mzigo maskin ya Mungu naomba lile swala la mimba liwe na uongo kabisaaaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]yaan maomb yanahitajika jamaniAmen [emoji120] [emoji120]