Limekuwa ni jambo la kawaida kuona watu maarufu wakijengewa masanamu yanayofana na mionekano yao.
Baada ya Rapa Take off kuaga Dunia mwaka 2022, Mr Official ametuletea sanamu lenye kufanana na msanii huyo ambae aliuwawa kwenye shambulio la risasi huko Houston Texas nchi Marekani.