Uliziona Kariakoo au wapi mkuu. Hata wanaouza mitandaoni naona tunapishana hatuelewaniDuh. Niliziona kitambo sana. Hope wadau wanaouza hizo sender watakusaidia kukujulisha
Nilizona kitambo sana mkoa, zile ambazo uki play movie kwenye DVD basi unatoa waya kwenye deki unaunga na sender, na walio karibu wanadaka kwa njia ya mawimbi. Sijui kama unaongelea hizoUliziona Kariakoo au wapi mkuu. Hata wanaouza mitandaoni naona tunapishana hatuelewani
Ni sawa na hizo mkuu ila siku hizi zimeboreshwa sababu ya Full HD na 4KNilizona kitambo sana mkoa, zile ambazo uki play movie kwenye DVD basi unatoa waya kwenye deki unaunga na sender, na walio karibu wanadaka kwa njia ya mawimbi. Sijui kama unaongelea hizo
Nitafute ninazo kibao, njoo inboboNi sawa na hizo mkuu ila siku hizi zimeboreshwa sababu ya Full HD na 4K
Shukrani angalau bi kitu kinaeleweka