Video: Shangwe la BAWACHA wakimpokea Lissu maadhimisho siku ya wanawake Mlimani City

Video: Shangwe la BAWACHA wakimpokea Lissu maadhimisho siku ya wanawake Mlimani City

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Hivi ndivyo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu alivyoingia na kupokelewa kwa shangwe Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ndiye Mgeni Rasmi wa tukio hili.
 
Mtamfanya dada Lusungo ajinyonge jamani
 
Tone tone then wanaenda kumbi za gharama kubwa namna hiyo?
 
Back
Top Bottom