Video: Shikamoo English, hebu tucheke,

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
1,677
Reaction score
1,596
Hizi video zinaonesha kiingereza kilivyosafiri na meli na baadhi ya nahau zikasahaulika baharini ebu ona
1.
2.ngassa

3.mwalimu wa diamond


4.
5.
 
Aaaaaaah nimemkubali sana ngasa kaongea safi sana[emoji23][emoji23]
 
Nenda Uingereza ukawe Muingereza uridhike. Tuache na lugha yetu tukufu ya Kiswahili.
Waache waendelee kujifunza kingereza sisi tupige madeal. ..pesa pesa kama wachina. ..wanawakopesha mpaka wakingereza wenyewe. ....waache walale milele na kingereza chao tuone kama kitaleta mkate mezani. ..lol!
 
Ngasa nadhani baada ya kwenda South Africa ameboresha kiingereza chake..
 
Hizi video zinaonesha kiingereza kilivyosafiri na meli na bahadhi ya nahau zikasahaulika baharini ebu ona
1.
2.ngassa

3.mwalimu wa diamond


4.
5.
Mbona fresh tu. Lakin si Ujumbe unafika. Lean we huoni wadhungu wakija huku wanavyo patashida ya kuongea kiswahili mpaka wanatukana matusi
 
Mi nashangaa sana kuona MTU anamcheka mwingine tu kwa kutojua vizuri lugha ambayo sio asili yake. Je we mchekaji unajua lugha zote duniani kiufasaha???? Kama hujui basi acha Tabia ya dharau hiyo. Wote hao wamefanikiwa vzr kufikisha Ujumbe kwa mpokeaji. Na hivyo ndo kujua hasa lugha.
 
Tone ya kiba ipo safi sana si rahisi kujua kama hajui kimombo.
 
Hizi video zinaonesha kiingereza kilivyosafiri na meli na bahadhi ya nahau zikasahaulika baharini ebu ona
1.
2.ngassa

3.mwalimu wa diamond


4.
5.
Na wewe ni kiazi...
Haujui kiswahili eti Bahadhi..... Bahadhi ndio kitu gani
 
Nimewapenda bure kwani hawajazaliwa na hiyo lugha kumkuta mzungu anaongea sentensi mbili vizuri ni bahati sana unless kajifunza kiswahili
 
Hilo li lugha la wakoloni! Wacha tulibutue tu.
 
alikiba ndio kauaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…