ObieTrice
Senior Member
- Jun 27, 2017
- 159
- 154
Usiku wa Oktoba 8 kutoka Dallas huko nchini Marekani kulipokuwa zikitolewa tuzo za Africa Muzik Magazine Awards (AFRIMMA), Diamond Platnumz alishinda tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kiume kutoka Afrika Mashariki, kipengele ambacho kilikuwa na jumla ya wasanii kumi.
Wasanii ambao Diamond aliwabwaga na kutwaa ushindi huo ni Eddy Kenzo, Jacky Gosee, Navio, Bebe Cool, Sauti Sol, Alikiba, Darassa, Nyashinski na Dynamq wote kutoka Afrika Masharaki.
Mbali na Diamond, mwanamuziki Victoria Kimani kutoka Kenya alitwaa tuzo ya Msanii Bora wa Kike wa Afrika Mashariki akiwamwaga, Vanessa Mdee, Avril, Lady Jaydee, Akothee, Dayna Nyange, Irene Ntale, Knowles Butera na Ester Aweke.
Wasanii ambao Diamond aliwabwaga na kutwaa ushindi huo ni Eddy Kenzo, Jacky Gosee, Navio, Bebe Cool, Sauti Sol, Alikiba, Darassa, Nyashinski na Dynamq wote kutoka Afrika Masharaki.