Video:: Siri yafichuka hukusu mgomo wa wanfunzi wa st. Joseph songea

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
2,713
Reaction score
3,559
Mgomo wa wanafunzi wa chuo cha St Joseph Songea unaoendelea na kupelekea chuo hicho kufungwa, umepelekea mmoja wa Walimu wa chuo hicho kutoka India kupigwa na wakubwa zake wa kazi kwa kile kinachosemekana kukataa kuwa upande wao katika kukandamiza haki za wanafunzi hao.
Sikiliza mwenyewe Mwalimu huyo akielezea kilichotokea katika video hii:
THE SECRET CONCERNING ST JOSEPH UNIVERSITY SONGEA CAMPUS. - YouTube
 
[video=youtube_share;V1IYL0w8540]http://youtu.be/V1IYL0w8540[/video]​
 
Ahsante kwa kuipost hiyo link mkuu huyo ndo alikuwa Dean of students St Joseph Songea campus Mr R Nickolaus.
 


God have mercy:
Nimemsikiliza huyu mwalimu/mtawala (dean of students) na ameniogopesha sana. Kwa kweli sikuweza kumuelewa hicho kizungu chake. He was so in-articulate and disorganized in explaining himself.

This makes me wonder what is the quality of instructions given in this so-called University? Is the University accredited in Tanzania? If this is the caliber of the instructors and administrators, are the Tanzanian students get their money's worth of instructions. If what I saw/heard from this DEAN is a reflection of the quality of the faculty and staff in this college, I suggest it should be closed at once and never to be opened until they get proper accreditation.

Au pengine nimekurupuka tu.
Kama kuna mwanafunzi wa sasa au aliepitia hapo chuoni atujuze kama kweli wanapewa elimu maridhawa la sivyo huu ni utapeli wa hali ya juu sana.
 

Mkuu ni ngumu sana kuelewa kiingereza chenye lafudhi ya kihindi ukisikiliza mara ya kwanza, kama tulivyo sisi wao pia kiingereza ni lugha ya kujifunza, so sishangai wao kuwa na gramar mbovu katika kiingereza, ila content aliyotaka kuielezea nadhani umeielewa.

Pia kile si chuo cha siasa ama biashara ambapo uwezo wa mtu hupimwa kwa fluency ya english bali practical na facts. So kuhusu deliverance ya lectures haitokuwa affected that much na gramar mistakes za lecturer. Though kuna some of lecturers are somehow competent and others are not kwa muono wangu.

Kwa content wanayofundisha, kwa muono wangu ipo poa, sema kuna kitu kimoja kinarudisha nyuma, nacho ni sylabus kubwa kusomwa kwa muda mfupi, na kutokuwepo kwa hostel katika mazingira ya chuo kunapelekea wanafunzi kuwa somehow in trouble as vitu kama discussions vinakosekana.

Ila all in all, maadam vitabu vipo, na kile ni chuo na si shule, bidii ya mwanafunzi ina mchango mkubwa katika maendeleo yake.

Kwa kuwa Catholic wako nyuma ya hii taasisi, naomba pengo afuatilie kiundani juu ya taasisi hii. Kama si yeye basi atume watu wake, naamini catholic is one of the best organisations duniani na this St joseph drama is too low for them.
 
Mr. R Nicholas leo amekua mpole kias hichi kweli alipigwa huyu jamaaaa.
Alikua bedui mbaya ila..................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…