Video sita zimetolewa hivi karibuni youtube lakini zimeshindwa kumtoa Diamond kileleni, kuna uchawi?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264




SIMBA KAMA LION, ALMASI KAMA DIAMOND, HAKIKA MAJINA HAYA ANAYATENDEA HAKI KWA VITENDO ZAIDI

NI ZAIDI YA WIKI SASA VIDEO YA QARANTINE BADO IMETULIA KILELENI KWENYE VIDEO ZINAZOTREND YOUTUBE BILA BUGUDHA AMA KUPEPESWA,

HIVI KARIBUNI NILITEGEMEA VIDEO ITASHUKA BAADA YA WASANII MAARUFU KUTOA VIDEO ZAO, LAKINI WAPI.

NAFASI YA TRENDING NAMBA MBILI, HARMONIZE ALITOA VIDEO SIKU CHACHE BAADA YA VIDEO YA QARANTINE KUTOKA, ILITEGEMEWA MMAKONDE NDIO ATACHUKUA TAJI LA KUFUATILIWA ZAIDI YOUTUBE LAKINI WAPI



TANASHA NAE ANAEBEBWA NA KIKI KUHUSU BABA HALALI WA MTOTO WAKE KAACHIA VIDEO LAKINI WAPI



JUX MZEE WAPAMBA BISHOO HASWAA KAACHIA VIDEO IKO POA LAKINI KAONA YAISHE TU MAANA KISIKI HAKING'OLEKI HUKO KILELENI, CHA MUHIMU PUMZI!!



SHILOLE TULIEDHANI KAHAMIA UMAMA NTILIE MAZIMA HAKIKA MASHABIKI ZAKE TULIMMISI, KARUDI TUMEMFURAHIA ILA BADO NAE HAJAFANIKIWA KUWA KILELENI


BILNENGA NAE HAKUWA MBALI ALIKUWA ANASOMA RAMANI TU NAE JUZI KAFUMUA KITU


MADEE KAJA NA SHENZ TYPE JANA, GOMA LIKO POA LAKINI MHHH!!! KUFIKIA KWA SIMBA IMEKUWA MTIHANI

 

Attachments

  • 1590952923378.png
    51.3 KB · Views: 1
  • 1590952963957.png
    36.9 KB · Views: 1
  • 1590952990988.png
    36.5 KB · Views: 1
  • 1590953022964.png
    41.5 KB · Views: 1
  • 1590953670482.png
    41 KB · Views: 1
Diamond ashashindikana , japo Harmonize ndo serious threat Kwa sasa
 
Labda tusubiri serikali ya awamu ya Tano itoke madarakani tutakuwa tushapata mpinzani
 
Huyo alilambishwa kitu maana sio kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…