Video: Socialite Hamisa Mobeto hupata kiki sana kwa mambo haya ya wasanii

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hapa tayari amemung'ata Eric Omondi wa Kenya...

 
Siyo wasanii tu hata wewe hapo huyo unaweza ukaokota kama ubua ukaenda kukung'uta hawana mana hawa malaya!
 
Muitaliano aliishia wapi? aangalie mama mtoto wa Diamond!
 
Watanzia wengi ni mazwazwa na ndiyomaana huyo mkenya mleta post amewawekea hiyo video fake kuwapima na nyie mmeingia kichwa-kichwa.

Hiyo video sio Hamisa ila kenge hazijaifungua zimeishia kumtusi dada wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…