Video: Starter ya kuwasha engine isiyotumia betri

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Ni kwamba badala ya kuzunguka kwa kutumia nguvu ya umeme wa betri, starter hii hufanya kazi kwa kuzungushwa kwa mkono kwa sekunde kadhaa kisha nguvu ya mzunguko huhifadhiwa kwenye spring, kisha ile spring starter ikifyatuliwa, ndio engine inawaka, tazama video

Land rover 109 zilikuwa zinawashwa hivyo. Pale mbele kuna kitundu unaingiza huo mtalimbo then unazungusha kama huyo jamaa gari inawaka.
 
Duuuh, hiyo si hatari sana kuwashia kwenye crank shaft moja kwa moja, endapo ukichelewa kuchomoa handle na engine ikawaka?
 
Mkuu siamini km hujazikuta hizi handle za kuashia injini za Land Rover kwani kuzungusha upande wa kulia Clockwise ndipo unailock na kuwasha
upande wa kushoto Anti clockwise ni loose au kuchomoa hivyo ni lazima handle ichomoke kiulaini
 
Back
Top Bottom