FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Land rover 109 zilikuwa zinawashwa hivyo. Pale mbele kuna kitundu unaingiza huo mtalimbo then unazungusha kama huyo jamaa gari inawaka.Ni kwamba badala ya kuzunguka kwa kutumia nguvu ya umeme wa betri, starter hii hufanya kazi kwa kuzungushwa kwa mkono kwa sekunde kadhaa kisha nguvu ya mzunguko huhifadhiwa kwenye spring, kisha ile spring starter ikifyatuliwa, ndio engine inawaka, tazama video
- YouTube
Auf YouTube findest du die angesagtesten Videos und Tracks. Außerdem kannst du eigene Inhalte hochladen und mit Freunden oder gleich der ganzen Welt teilen.youtube.com
Duuuh, hiyo si hatari sana kuwashia kwenye crank shaft moja kwa moja, endapo ukichelewa kuchomoa handle na engine ikawaka?Land rover 109 zilikuwa zinawashwa hivyo. Pale mbele kuna kitundu unaingiza huo mtalimbo then unazungusha kama huyo jamaa gari inawaka.
Duuuh, hiyo si hatari sana kuwashia kwenye crank shaft moja kwa moja, endapo ukichelewa kuchomoa handle na engine ikawaka?
Mkuu siamini km hujazikuta hizi handle za kuashia injini za Land Rover kwani kuzungusha upande wa kulia Clockwise ndipo unailock na kuwashaDuuuh, hiyo si hatari sana kuwashia kwenye crank shaft moja kwa moja, endapo ukichelewa kuchomoa handle na engine ikawaka?