Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 2,188 Reaction score 4,116 Nov 3, 2023 #21 Kazi nzuri JPM. Hii awamu ya sita haingekuwa na ujasiri wa kutoa watu hapo.
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 Nov 3, 2023 #22 dronedrake said: daah, kama Ulaya Hongera Mama Samia Click to expand... Siku sio nyingi itakuwa chimbo la totoz ..
dronedrake said: daah, kama Ulaya Hongera Mama Samia Click to expand... Siku sio nyingi itakuwa chimbo la totoz ..
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 21,492 Reaction score 65,712 Nov 3, 2023 #23 Gorgeous96 said: Bado Arusha hawana stendi lol Click to expand... Ila Arusha ni wa kuwaonea huruma, pamoja na Ukongwe wa Jiji lao lakini wamekosa Stendi ya Kisasa. Barabara nazo ni shida Arusha 🙌
Gorgeous96 said: Bado Arusha hawana stendi lol Click to expand... Ila Arusha ni wa kuwaonea huruma, pamoja na Ukongwe wa Jiji lao lakini wamekosa Stendi ya Kisasa. Barabara nazo ni shida Arusha 🙌
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,847 Reaction score 61,886 Nov 3, 2023 #24 adriz said: Siku sio nyingi itakuwa chimbo la totoz .. Click to expand... tena wa chuo, ghali sana bora wa Buza Kwa Lulenge
adriz said: Siku sio nyingi itakuwa chimbo la totoz .. Click to expand... tena wa chuo, ghali sana bora wa Buza Kwa Lulenge
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 17,119 Reaction score 32,195 Nov 3, 2023 #25 Siyo kero. Sema it sounds as if your Pro-Samia and Pro-TPDF comments have been made under duress. It's not you. MINOCYCLINE said: Kwanini huku Kumsifia Kwangu Rais Samia Kwako kuwe ni Kero? Click to expand...
Siyo kero. Sema it sounds as if your Pro-Samia and Pro-TPDF comments have been made under duress. It's not you. MINOCYCLINE said: Kwanini huku Kumsifia Kwangu Rais Samia Kwako kuwe ni Kero? Click to expand...