VIDEO: Steve Nyerere akiongea kuhusu mitandao

Kinachonifanya nisijiunge na chama kile, wote wanafiki kuanzia sura, mioyo hadi matendo.
 
Yan hakuna mtu ambae amekuq hvyo kama Steve
Kwa sasa pale bongo muv
 
Huyu jamaa hajielewi wala haelewi anazungumza nini wacha ajikoshe bwana yupo kama amemwagiwa maji akiwa usingizini hiyo Mara hivi Mara vile hao ndio wasanii wetu wanaishi kisanaasanaa tu mjini
 
Mhe. Steve (PhD) piga jaramba kabisa maana, bahati inaweza kuangukia kwako baada ya Daudi kupumzishwa!!
 
Hivi hawa hizi sura huwa wanazipata wapi? Mwingine mwenye sura kama hii ni Humphrey polepole akili 0
 
Ujumbe wa kinafiki lakin ndo ukwel huoo...

Nchi aindeshi kwa mitandao fanyeni kazi. Ful stop


Sisi atuendeshi nchi, acha kuropokwa. Waambie wakafanye kazi watu wanaokula kwako, humu kila mtu na maisha yake.
 
Kwani kimefanya nn wengine hatujui habari zake uyo pimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…