Video: Tazama "ujinga" wa Benard Morrison-BM3

Video: Tazama "ujinga" wa Benard Morrison-BM3

Japo halikuwa goli..

Mimi japo mwanayanga.. ila hii ni best skill kuonekana katika mechi nzima ya jana.. ni tamu kuliko hata magoli..

Na angefanikiwa kufanya ule mpira uingie golini. Manara tungemkoma wananchi

Maana ingekuwa anapost chama assist yake kisha anapost Morrison .. anafuta kisha anaanza kupost tena na maneno ya shombo mengi
 
Chama Anajua sana mpira

Angekuwa chama hapo tungeshuhudia gori bora kabisa
 
Back
Top Bottom