OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Sep 23, 2020 #1 Your browser is not able to display this video. Ningekuwa refa ningeweka mpira kati,potelea mbali
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Sep 23, 2020 Thread starter #2 Faru Kabula nmekuweke video ujionee ulichoniuliza jana
Airmanula JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 3,527 Reaction score 5,762 Sep 23, 2020 #3 BM anawafanya mnamuwaza kila saa! duuh
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,410 Reaction score 8,184 Sep 23, 2020 #4 Japo halikuwa goli.. Mimi japo mwanayanga.. ila hii ni best skill kuonekana katika mechi nzima ya jana.. ni tamu kuliko hata magoli.. Na angefanikiwa kufanya ule mpira uingie golini. Manara tungemkoma wananchi Maana ingekuwa anapost chama assist yake kisha anapost Morrison .. anafuta kisha anaanza kupost tena na maneno ya shombo mengi
Japo halikuwa goli.. Mimi japo mwanayanga.. ila hii ni best skill kuonekana katika mechi nzima ya jana.. ni tamu kuliko hata magoli.. Na angefanikiwa kufanya ule mpira uingie golini. Manara tungemkoma wananchi Maana ingekuwa anapost chama assist yake kisha anapost Morrison .. anafuta kisha anaanza kupost tena na maneno ya shombo mengi
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Sep 24, 2020 #5 Chama Anajua sana mpira Angekuwa chama hapo tungeshuhudia gori bora kabisa
Amri97 Member Joined Sep 11, 2020 Posts 87 Reaction score 98 Sep 24, 2020 #6 Ata sioni ajabu apo,,,angefanya Yacouba mirasta ndo ningeshangaa