Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
ikitoka garage inarudi kupiga ruti, kudadeqDuh kweli nchi hii kiboko
Hili basi ilitakiwa ibebwe juu ya loader truck ipelekwe sehemu husika.....utakuta hapo inakwenda garage
Ova
Ilipaswa iwe hivi,halafu mbaya zaidi bado liko highway on the move.Duh kweli nchi hii kiboko
Hili basi ilitakiwa ibebwe juu ya loader truck ipelekwe sehemu husika.....utakuta hapo inakwenda garage
Ova
Wanayoiendesha wahuni tu 😄Ilipaswa iwe hivi,halafu mbaya zaidi bado liko highway on the move.
Misukule ya boss hiyo.Wanayoiendesha wahuni tu 😄
Hawana wasi gari limejaa midamu tu
Ova
Hawa ndio madereva na wamiliki unaotegemea wakufikishe salama.