Huyu askari anaonekana ni mpole sana.
Kwanini afukuzweHuyu polisi alishafukuzwa kitambo
USSR
Sivyo. Huyo Dereva wa lori hataki kuelewa kashupaza shingo.Huyu askari anaonekana ni mpole sana.
Hapana. Unatakiwa kutii Sheria bila shuruti.Hii kazi na ugonjwa wa akili ni sambamba.
Kwa hiyo hapo ni Trafiki Feki?Huyu polisi alishafukuzwa kitambo
USSR
Mmevurugwa sio poa. Jikazeni.Hapana. Unatakiwa kutii Sheria bila shuruti.
Ndio maana nikasema huyu askari ni mpole sana.Sivyo. Huyo Dereva wa lori hataki kuelewa kashupaza shingo.
Tunajitahidi sana lakini hawa madereva-pasua kichwa wanatuvuruga zaidi.Mmevurugwa sio poa. Jikazeni.
Nyie mmevurugwa tu na maisha yenu duni, hasira mnawamalizia madereva.Tunajitahidi sana lakini hawa madereva-pasua kichwa wanatuvuruga zaidi.
Huo ndo weledi kazini japokuwa amemuonesha "trailer" kwa vibanzi vichache.Ndio maana nikasema huyu askari ni mpole sana.
Sahihi kabisa!Huo ndo weledi kazini japokuwa amemuonesha "trailer" kwa vibanzi vichache.
Mazafakas wa TANPOL hawafuati sheria wakati wa kutekeleza majukumu yao. Otherwise, hakuna sababu ya kufanya physical contact unless askari amechukua hatua ya kumkamata mtuhumiwa!
katika kumdhoofisha muhalifu au mkiuka sheria jeuri au kaidi wa maelekezo au maonyo ya kiusalama, afisa usalama anaweza kutumia nguvu kiasi katika kumdhibiti mkiuka sheria huyo asilete madhara zaidi kwa wengine na kumtia nguvuni 🐒