Video: Tujikumbushe chenga za Musiba

Kuna mambo hata kama unayajua na hayako sawa kukaa kimya kuna faida kubwa hasa kwa nchi zetu hizi ambapo alieko juu lazima amuumize wa chini. Leo atawakumbuka wale waliokua wakimwambia aache mqmbo hayo
 
Anaenda kuwa omba omba kama babu yake the late Matonya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…