Video: Ubabe wa Dudubaya hutomuacha salama Nay wa Mitego

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Dudu Baya amedai muziki wa rapa Nay wa Mitego hautofautiani sana na muziki wa Gigy Money na Amber Lulu huku akidai ni muziki uliotawaliwa na majungu na majigambo.

Akiongea na Bongo5 Ijumaa hii, Dudu amewashangaa mashabiki wa muziki kuendelea kumpatia support rapa huyo wakati haoni chochote anachofanya kwenye muziki.

“Mimi sio shabiki wa muziki wa Nay wa Mitego, kwanza muziki wake haueleweki ndio maana namfananisha na Amber Lulu na Gigy Money,” alisema Dudu Baya. “Kuna wasanii wakali wanafanya muziki mzuri kuliko huyo lakini hawapewi support, mimi ningewashauri tu mashabiki wa muziki wapende muziki mzuri,”

Alisema hajui rapa huyo anafanya muziki wa namna gani kwani amekuwa ni msanii wa hip hop anayetumia mwamvuli wa hip hip kuwasema watu.

Rapa huyo amewataka mashabiki wa muziki kusikiliza muziki mzuri ambao utawajenga na sio muziki ambao ndani yake una maneno ya kuwasema watu bila sababu.
 
Sawa

Sent from my itel it1408 using JamiiForums mobile app
 
Dudu zuri

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Sisi tunaita Kutapatapa

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Yeye alikuwa anaimba nini?

Nakupenda bibi kizee, nakupenda kikongwe?
 
Naona kuna mapambano makali sana ya wasanii wa "zamani" kutaka kurudi,ila hawana jinsi ya kurudi kupitia muziki,ila ni ya kutumia kuwa dis wengine ili watoke mafichoni.
Nay wa mitego anaimba nini sasa? Lazima aambiwe ukweli na tuone kama atamjibu dudubaya

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Dudu Baya amedai muziki wa rapa Nay wa Mitego hautofautiani sana na muziki wa Gigy Money na Amber Lulu huku akidai ni muziki uliotawaliwa na majungu na majigambo.

Akiongea na Bongo5 Ijumaa hii, Dudu amewashangaa mashabiki wa muziki kuendelea kumpatia support rapa huyo wakati haoni chochote anachofanya kwenye muziki.

“Mimi sio shabiki wa muziki wa Nay wa Mitego, kwanza muziki wake haueleweki ndio maana namfananisha na Amber Lulu na Gigy Money,” alisema Dudu Baya. “Kuna wasanii wakali wanafanya muziki mzuri kuliko huyo lakini hawapewi support, mimi ningewashauri tu mashabiki wa muziki wapende muziki mzuri,”

Alisema hajui rapa huyo anafanya muziki wa namna gani kwani amekuwa ni msanii wa hip hop anayetumia mwamvuli wa hip hip kuwasema watu.

Rapa huyo amewataka mashabiki wa muziki kusikiliza muziki mzuri ambao utawajenga na sio muziki ambao ndani yake una maneno ya kuwasema watu bila sababu.

Yeye alishafanya muziki upi wenye mafundisho zaidi ya matusi?kwanza ni mtu asiyejitambua.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Nay wa mitego anaimba nini sasa? Lazima aambiwe ukweli na tuone kama atamjibu dudubaya

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ndio umeuliza nini mkuu,inamaana wewe uoni anaingiza pesa kupitia huo huo muziki unaoushangaa wewe ........... Na nikuambie siri moja kuuuuuubwa sana ya maisha ya mwanadamu ni KUINGIZA PESA,ZINGINE ZOOOOOOOOTE NI KELELE ZA KUTAKA NA WAO WAINGIZE PESA KAMA WENZAO.Asikuambie mtu "eti" fulani hawezi kuimba ana sauti mbaya,ajui kutunga nyimbo, MUULIZE HIVI,KAMA WEWE UNASAUTI NZURI KWANINI USIWE KAMA HUYO AU ZAIDI YAKE HUYO UNAYEMTUPIA DONGO ??
 
Basi hata Nay kwa wakati huu yupo sahihi kabisa!
Hakuna sehemu nimesema Ney kakosea, mi nilitaka kukukumbusha tu kuhusu mziki wa Dudu baya.
Mziki wa Ney siwezi kuusemea sana maana sio kila nyimbo yake ni nzuri, zipo nyimbo zake nzuri hata mimi nazipenda ila zingine hovyo wala hazivutii hata kuangalia.
 
Back
Top Bottom