Video: Ufisadi wa Sipora Liana ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam waanikwa

Pole sana mh Rais Magufuli kila unapojitahidi kuteua watumishi hujikuta umeteua wezi na mafisadi. Unabahati mabya sana kuwa rais kupitia ccm.
Huyo mkurugenzi ni fisadi na ufisadi wake upo wazi kabsa lakini kwa kuwa ni mtu wa makonda atalindwa kwa gharama yeyote na hata itokee wamtumbue kukwepa Aibu hawataweza kumshitaki popote zaidi ya kuwahadaa watu.
 
Ccm hawajawahi acha wizi zaidi ya kubadili mbinu tu.Huyo mkurugenzi anafanya visa Na njama dhidi ya meya ili aweze chota mabilioni ya shilingi kuelekea uchaguzi Mkuu.
 
Ccm hawajawahi acha wizi zaidi ya kubadili mbinu tu.Huyo mkurugenzi anafanya visa Na njama dhidi ya meya ili aweze chota mabilioni ya shilingi kuelekea uchaguzi Mkuu.
Keshachota pesa nyingi tayari anazo na hata mali anazomiliki sasa ni kufuru mtupu
 
Kiboko ya mkurya Issaya Mwita na CHADEMA 💪👍
 
Although wanawashughulikia upinzani ni ndoto rejea mnyeti,sabaya.
 

Kumbe ndiyo maana anampiga vita meya ili kuzima haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…