Video: Ufisadi wa Sipora Liana ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam waanikwa

Mavi tupu,mtashindwa kama mlivyoshindwa kwa Makonda na mfululizo wa threads lukuki za kumponda,sana mnamtakia kupandishwa cheo tu huyu mama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona ukuu wa mkoa ukimnyemelea huyu mkurugenzi,si kwa kiki hizi za wapinzani...
 
Sipora siyo fisadi hata kidogo ubaya wa Sipora HAMWAMINI mtumishi yeyote na anafanyia mambo ya kusikia na kuaambiwa na wapambe. Pili yeye anajiona yuko sahihi kwa kile anachokifanya na hivyo ushauri wa watu wengine ni kitu cha nyongeza tu. Tatu ile dhana ya kufanya kazi kama timu moja anaikosa.
kwa hiyo ukiuliza watumishi utakuta kuna makundi ya watumishi wanaokubaliana naye na wengine hawakubaliani naye. Angesahihisha haya mapungufu aliyo nayo angekuwa mmoja wa Wakurugenzi wachapakazi, anayependwa na weledi.
 
Inajurikana vitisho vyote anavyofanyia wananchi magufuri ni ili aibe. ye mwenyewe hawezi zuia wizi.
amekuwa waziri wa ujenzi miaka 20, wizi mwingi umefanyika mbele ya macho yake hakuwahi hata siku moja kuonyesha kujari.

ni mjanja mjanja mmoja akiwa mbele ya kamera.
 
visa na vituko wanavyofanyiwa wapinzani na watendaji mbalimbali wa serikali pamoja na askari ni ukiukwaji mkubwa wa maadili ya kazi, lakini kila wanapofanya upuuzi ndio wanavyokubalika na magufuri.
 
huyu mama asijekushangaa mtu, akiwa mbunge na waziri kamili kama tukilala huyu magufuri akarudi ikuli
 
kuhusu kupachika ndugu yake Ubungo Bus Terminal hilo unalizungumziaje ?
 
Koryo unaweza kuwa sahihi, kwa ufisadi huyo mama hawezi hata siku moja kushiriki. Ila nijuavyo mimi ni mtu mwenye msimamo mkali.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa awamu hii huyu mkurugenzi anafaa uwaziri maana yupo vizuri kwenye mikakati ya wizi
 
Yaani nyie mnachekesha sana. Miradi huwa inaibuliwa na madiwani wenyewe. Hii miradi yote imepitishwa na baraza la madiwani likiongozwa na meya wa chadema. Fedha zimepitishwa na madiwani na meya wa chadema. Wasimamizi na wakaguzi wa utekelezaji wa miradi ni chadema na meya wao. Mlikua mnaona raha mnapoenda kukagua miradi wakandarasi wanawahonga pesa mnapita tuuu hata hamkosoi kitu kwenye miradi. Leo meya katumbuliwa ndio mnajifanya mnauchungu ? Takukuru nadhani waanze kwanza na meya aliyepigwa chini pamoja na kamati zake za mipango fedha na uchumi watiwe ndani wakati uchunguzi na uhakiki unafanyika.
 
uhuni, ufisadi na ccm ni sawa na chanda na pete. They are simply inseparable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…