Video: Ufisadi wa Sipora Liana ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam waanikwa

Ufisadi wake anakula na wakubwa wa ccm na hao ndiyo watamlinda kwa gharama zote
Hayo mambo ya wakubwa aliondoka nayo JK
We huoni wazee wa meno ya tembo wanavyohangaika kutafuta fadhila?
Wakubwa wa siku hizi ni nani hao?
akina Polepole na Makonda? au Harmonize na Diamond?
 
Ni wapi umeona Meya kapigwa Chini ?
 
Tangu lini serikali za ccm zilikuwa safi?
 
Hiki ndio chanzo cha mizengwe anayowekewa Isaya Mwita
Hahahaaa Mwita angeunga juhudi saizi angekuwa anazungukatu kwenye kiti officini na kiyoyozi kwa mbaaali, majuto ni mjukuu.

Ukiwa mwanasiasa inabidi kuwa na moyo sana, yani mtu unanyang'anywa tonge mdomoni hivi hivi na umesha toea mchuzi, kweli.!!,

Hili lichama kweli babalao, yana zambi sana majituhaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .
 
Mambo makubwa haya!! tuhuma ni nzito sana.
 
CCM ya Magufuli inayoacha alama ya WIZI wa KODI ZETU.
Nchi inaongozwa na LIJIZI la Trillion zetu.
Na wateule wake wajitutumua kuiba.
Kupatwa kwa Tanganyika.
Ila hili jamaa jizi kweli!
Linaiba linanunua ndege,
linaiba linaongeza dawa mahospitalini,
Linaiba linajenga maflyover,
Linaiba linajenga vituo vya afya nchi nzima,
linaiba linajenga viwanja vya ndege,
Linaiba linalipia gharama za shule ili wananchi wasilipe.
Halafu kibaya zaidi linabana dili zetu za kuuza ngada na ghost workers na vyeti feki.
Hakika
Tanzania hatujawahi pata RAIS jizi kama hili.
 
Hii serikali ni ya wapiga "dili" kuliko serikali zote zilizopita. Magufuli, Makonda, Kigwangala na wengineo WANAFANYA STAREHE TU.
 
Hii serikali ni ya wapiga "dili" kuliko serikali zote zilizopita. Magufuli, Makonda, Kigwangala na wengineo WANAFANYA STAREHE TU.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…