VIDEO: Ujenzi wa Uwanja wa AFCON Arusha wafikia 25%

VIDEO: Ujenzi wa Uwanja wa AFCON Arusha wafikia 25%

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya mashindano ya Fainali za AFCON 2027 umefikia 25% za ujenzi wake.

1738651461241.png
Msigwa amesema hayo leo tarehe 3 Februari 2025 wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa uwanja huo unaojengwa katika kata ya Olmoti jijini Arusha.

Aidha, Msigwa amemtaka mkarandarasi anae Jenga uwanja huo wa kisasa wa Michezo wa Arusha kuongeza Kasi zaidi kwa kuzingatia viwango.

 
Daah aseeh barabara ya kufika huko ni tatizo. Nadhani kuwe na mpango wa kuboresha miundombinu ya barabara ukizingatia uwanja uko nje ya mji sana
 
Back
Top Bottom