Video: Unapanda daladala halafu unanitaka kimapenzi?

Video: Unapanda daladala halafu unanitaka kimapenzi?

Ma Mshuza

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
207
Reaction score
1,122
Nami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Mwanamke mpumbavu utamjua kwa kauli zake za kipumbavu.
Utakuta ukoo wake mzima hakuna hata mmiliki wa bajaji, halafu utakuta mwanamke mwenye masharti ya kipumbavu Hana chura, Hana elimu, anamatatizo ya ndani kwa ndani, Hana mvuto yaani amekaa Kama mchawi Fulani hivi.
 
Back
Top Bottom