Video: Usiku wa kisengeli wa Wema Escape One ni Aibu

USIKU WA KISENGELI! HIVI VIGODOLO VIGODORO WATU KUTIKISA MATAKO SERIKALI ITAKATAZA LINI?
We kilichokupeleka ukarekodi ninini? Kwani kutingisha matako ni tatizo? Mbona wewe simu yako imejaa picha na video za ngono hulalamiki?
Acheni privacy za watu wangechezea barabarani hapo ungekuwa na haki ya kulalamika
 
Sijaona tatizo kwa kua ngoma ni utamaduni wetu sisi waafrica, na uhondo wa ngoma sharti uingie kati ucheze,
Usasa usitupotoshe tukasahau asili yetu.

Big up to Snura na Munna maana duuh si kwa mauno hayo.
 
We kilichokupeleka ukarekodi ninini? Kwani kutingisha matako ni tatizo? Mbona wewe simu yako imejaa picha na video za ngono hulalamiki?
Acheni privacy za watu wangechezea barabarani hapo ungekuwa na haki ya kulalamika
Ok
 
Hao wanaokatika ni mashabiki waliojilipia viingilio?
Well, at last wema nae ajipatie kipato halali manake Mie huwa sielewi anafanya nini mjini. Nilifikiri ni muigizaji lakini filamu ya mwisho sijui aliitoa lini
Wema maisha yake ni maigizo tosha..Deile yuko location..
 
Dah! Hichi kiuno si cha kawaida hata kidogo. 😛😛😛
Kwa kweli.......kukiona tu ni burudani tosha......ila kila kitu ni mazoezi.....hapo ukiamua tu unakuwa na kiuno kama hicho.
 
Reactions: BAK
Ndio tuje tutoe kizazi cha kuendesha viwanda vya Tanzania...... Over my dead body.
Dawa ya kulitibu Taifa kwa sasa sijui kama ipo, zaidi ya kutuliza maumivu ambayo nayenyewe huwenda ikachoka kimatumizi hapo baadae.
 
Watz tumezidi unafki. Kukata mauno ni asili yetu. Ina mana mdumange ufungiwe sababu watu wanakata mauno hadharani? Mtutokee hapa na maadili yenu uchwara. Mmezaliwa mmekuta utamaduni uko hivi ubadilishwe kisa nyie ndo mna watoto ama?
 
Waachie wabaki na matabia yao hayo hayo ya kijinga. ..sisi tupige biashara. .wakishtukia miaka imekwenda. ..wao na vizazi vyao wanakuwa watumishi wetu milele ...USIWAAMSHE WALIO LALA. ..SH SH SH. .
 
Waachie wabaki na matabia yao hayo hayo ya kijinga. ..sisi tupige biashara. .wakishtukia miaka imekwenda. ..wao na vizazi vyao wanakuwa watumishi wetu milele ...USIWAAMSHE WALIO LALA. ..SH SH SH. .
Hakika...
 
Kweli sasa Wema kaishiwa..katoka ligi ya Premium sasa anacheza ligi ligi daraja la tatu Kanda
We mwenzio kapiga pesa. Hachagui kazi. 10,000×7500. We bado unazungumzia premia ligi. Kampa msaga sumu 2m na Snura 2.5m muna love 2m. Wengine 5 1m. 5m. Ukumbi tarumbeta matangazo na vingine 10m. 65.5m yiko mfukoni kwa siku moja akizunguka mikoa yote pata picha . Mjini msingi kiuno
Million 65 bado unabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…