Video: Usiku wa kisengeli wa Wema Escape One ni Aibu

Cc: Madam B uko wapi weye aicee, kuja hizi pande weye...!
 
ndio hesabu za wanawake wa uswahilini hizi..hivi hizo hesabu unazopiga kama ulikuwepo wakati wanagawana..afu umeshau na kodi ya TRA hapo aliwapa ngapi..na VAT ilikuwa shilingi ngapi?
 
Nilipita maeneo ya escape one huo usiku wa kisengeli uwiii hizo nguo za wadada duh aibu niliona mie
 
ndio hesabu za wanawake wa uswahilini hizi..hivi hizo hesabu unazopiga kama ulikuwepo wakati wanagawana..afu umeshau na kodi ya TRA hapo aliwapa ngapi..na VAT ilikuwa shilingi ngapi?
Vyovyote Pay as you earn. Value Added Tax. Pay as you run. Zikkwata hakosi 50 m
 
Ni vizuri kuukubali u-Afrika wetu katika kila Nyanja pamoja na ''utamaduni' wetu maana mpuuza jadi ni mtumwa na haijalishi upo sehemu gani ya dunia wewe endelea kuonesha Uafrika wako.

 
Dah! Hichi kiuno si cha kawaida hata kidogo. 😛😛😛
Mh! Amejaliwa mtoto Mwanamke,ila BAK hao wengine wanafaa hivyo hivyo kuwa mabango tu ya maonyesho ukighafilika tu ukasema uoe,utajidanganya madereva mtakuwa wengi na muoaji utakua kama gereji tu gari litahifadhiwa kwako.
 
Duh kumbe madame na ustaa wke anakata uno vile aisee
 
Hahahahahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]etiii manabii wa naonaa mbaliii
 
Watu hawawezi kutambuaa kituu kimojaa hata hicho kinachofanywa n moja ya tamaduni na baadhi ya jamii kukata mauno imeanza karne hiii tenaa especially wamevaaa mavazi maalumu yanayostiri nyeti zao kama dira na pia muda unaruhusu uck. ....swali huyoo mtt kafata nn maeneoo hayoo....pili kumbukeni duniaa inachange tulandane na utandawazi lakn uctutumikisheeeeeeèe[emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
 
Watz tumezidi unafki. Kukata mauno ni asili yetu. Ina mana mdumange ufungiwe sababu watu wanakata mauno hadharani? Mtutokee hapa na maadili yenu uchwara. Mmezaliwa mmekuta utamaduni uko hivi ubadilishwe kisa nyie ndo mna watoto ama?
Point kabisa hii ni asili yetu
 
Haya mambo, yaacheni tu, mwenye kuliwa kiboga aliwe tu, asiye taka aachane nayo.. mambo ya ndani sana haya
 
Haya mambo, yaacheni tu, mwenye kuliwa kiboga aliwe tu, asiye taka aachane nayo.. mambo ya ndani sana haya
Siku utapogundua mwanao ama nduguyo wa karibu amekumbwa na hilo balaa ndo utaelewa kwanini watu wanalivalia njuga.Lilo sawa kwako laweza lisiwie sawia kwa mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…