Video: Utopolo wamewaponza wenzao,kufungwa wamefungwa na kichapo wamekula

Video: Utopolo wamewaponza wenzao,kufungwa wamefungwa na kichapo wamekula

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Samahani,nilichelewa kuchukua hii video,
Lisaa limoja kabla mechi kuanza timu nzima ya JWANENG iliingii uwanjani ikiongozwa na kocha wao msechu,
Kocha akaenda katikati ya uwanja akamwaga vitu kama unga,akaja goli la kwanza akamwaga na goli la pili akamwaga watu wakawa wanazomea....
Kipindi hiko wachezaji wakawa wanazunguka uwanja wakafika katika kibendera cha kwanza wakamwaga huo unga,sasa washabiki wakaanza kupiga kelele ndipo walinzi wakaenda kuwakataza wachezaji wa jwaneng kufanya hivyo la sivyo watakula kichapo,wao wakawa wabishi wakataka kumwaga tena katika kibendera cha pili aaaaah kwakuwa walinzi hawakuruhusiwa kuingia ktk pitch wakamvuta jamaa aliyekuwa anaifanya kazi hiyo na kuanza kumpa kichapo na timu nzima ya galaxy na viongoz wao wakaingilia zikapigwa kama dk 20 hivi ila kichapo walikipata.....
Cha kushangaza wakala 6 kwa nunge


Video ni kubwa mno ina mb 256 nimeshindwa kuiupload...
 
Kumbe badala ya kufanya mazoezi wao walikua wanapewa lecture ya ulozi jinsi ya kumuua mnyama..
 
Back
Top Bottom