VIDEO: Uvivu tu wa kukaa na wazee wenzake na kunywa Kahawa. Tazama babu akiwa busy na bango la Samia kwenye Samia Cup

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Babu anasema yeye ni mwanafunzi wa darasa la tatu C na hapa alikua ameenda ku-support chama lake la Lamata Village FC kwenye mashindano ya Samia Celebrities and companies Cup, yaliyoandaliwa na msanii wa Bongo Fleva na mfanyabiashara Alikiba

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…