Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
We kwako umefunga mkuu sema ukweli?Funga invisible sensors, unapata alarm au notification ndani kimya kimya...
We kwako umefunga mkuu sema ukweli?
Humu ndani watu mna vituko πππππΏYup, infrared sensor with at least 10 to 15m detection, SMS notification enabled...
Swali linalofuata najua utauliza unaipataje na wewe ufunge...
Humu ndani watu mna vituko πππππΏ
ππππAta hao uliowataja πΆ wana udhaifu wao,mwogope mwanadamu ππππ
Zikoje hizi mzeeFunga invisible sensors, unapata alarm au notification ndani kimya kimya...
Mwingine ni Mwanao anazima umeme anaeambia njooni Baba kalalaConnection tho. Huenda fensi ya umeme walizima.
Kawaida mwizi hatoki mbali.
HIIYO FENCE BILA SHAKA HAIKUWA NA POWER, KAMA INGEKUWA NA POWER HUYO MTU WA MWISHO KWA JINSI ALIVOSHUKA ASINGEKUWA SALAMA HATA KIDOGO. LAKINI PIA TUMEONA AKIVUNJA TAYARI AKIWA NDANI ALIINGIAJE NDANI HAPO BADO HAKUNA MAJIBU, MAMBO YAFUATAYO YANAWEZA KUWA YAMECHANGIA:-Hivi uzio wenye waya wa umeme unazuia kweli vibaka?
Kwenye video hapo chin ya CCTV iliyowanasa vibaka wakivunja fensi ya umeme kwa miguu.
Yani dawa yao hawa kenge ni rottweilers, Pitbull na German shepherd.
View attachment 3408690
Wengi wanaweka halafu hawawashi kwa kuogopa itatumia umeme mwingi...Hiyo fensi haikuwa na umeme