Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 996
- 1,913
Fence inatumia umeme wa kawaida sana ndo maana ina mashine yake ambayo inapokea umeme wa kawaida kabisa kama TV na redio na kufua mpaka volt 7000 au zaidi.Wengi wanaweka halafu hawawashi kwa kuogopa itatumia umeme mwingi...
DahDaaah aiseeee mi nasema siku nikikamata mwizi wallah nampaka mafuta ya nazi mata..... Alafu simfanyi kitu namuacha ajifunze kitu kuwa kaponea chupu chupu kufi.....
Njoo unifi..r...e mimi naham sanaDaaah aiseeee mi nasema siku nikikamata mwizi wallah nampaka mafuta ya nazi mata..... Alafu simfanyi kitu namuacha ajifunze kitu kuwa kaponea chupu chupu kufi.....
Yani mkuu wee acha tu. Hapo Chini imam wetu kipenzi mkombozi wa waislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu.Wana bahati Sana yule imamu wako kipenzi hakuwa maeneo hayo
Bila hvo daaah tutawaendekeza
Mkuu unawezaji kushika makalio ya mwanaume mwenzako na kuyapaka mafuta?Bila hvo daaah tutawaendekeza
πππππππππ Manina....Njoo unifi..r...e mimi naham sana
Kawaida tuu..Mkuu unawezaji kushika makalio ya mwanaume mwenzako na kuyapaka mafuta?
Mmmhh!!! Kawaida?????Kawaida tuu..
Tena unampaka akiwa anajielewa yaani kashiba..
na yupo conscious yaan napenda mtu anavolalamika na kuletea purukushani lakini anakuta ameshikwa tight.. ππππππ
Kwa akili yako unajua kuwa hao wanyama wanawazidi binadamu akili, ama huko ulaya unadhani hakuna hizi Mambo kwani kwa akili yako. Mie niliibiwa bus ya kadi nikiwa nje wale pick pocket.Yani dawa yao hawa kenge ni rottweilers, Pitbull na German shepherd
Unaogopa mkuuMmmhh!!! Kawaida?????
NIMERUDIA TENA KUANGALIA HILI TUKIO NIKIWA KAMA MTAALAM WA MAMBO YA Cooperate Security KWA LEVEL YA CSMP na RSMP kwa maana ya CERTIFIED SECURITY MANAGER PROFESSIONAL na SECURITY and RISK MANAGEMENT PROFESSIONAL - C. Ni wazi kuwa Fence haikuwa na moto, kwa nini nasema hivo huyu mtu wa mwisho alishika kabisa naked waya, ile waya ya chini kabisa of which kama ingekuwa na moto lazima angepigwa short na angezimia. Au kama fence ilikuwa na moto basi Fundi alifanya kosa la kiufundi kuweka waya wa Earth au ground mwanzoni au waya namba moja. Huwa tunashauri fundi aanze na waya wa Live. Lakini zaidi sana Mimi kama mimi (PSP au Physical Security Protection) nshauri zaidi watu na mafundi umeme ambao mmeingia kwenye hii biashara ya kuwafungia watu fence ambayo tunaita , ALL LIVE WIRE ELECTRIC FENCE. Lakini pia tunapaswa kuhakikisha kuwa fence zetu zina siren za kutoa taarifa about any possible Intrusion, maanake nini Tengeneza fence ambayo baada ya tu ya kuwa Tampered ( waya kukatwa) upate taarifa. ASANTENI NIKO TAYARI KUTOA USHAURI BURE KUHUSIANA NA HAYA MAMBO.Hivi uzio wenye waya wa umeme unazuia kweli vibaka?
Kwenye video hapo chin ya CCTV iliyowanasa vibaka wakivunja fensi ya umeme kwa miguu.
Yani dawa yao hawa kenge ni rottweilers, Pitbull na German shepherd.
View attachment 3408690
afu poor ntakupiga mbona hunijibu ibox π€©π€©π€©πππππππππ Manina....
Humu ndani humu tuna ishi na machizi na wandawazimu
Hahahahaaaaa,kama kumfi huwez basi mkate hata kipande cha sikio ili iwe alama ya kudumu au toa sikio loteDaaah aiseeee mi nasema siku nikikamata mwizi wallah nampaka mafuta ya nazi mata..... Alafu simfanyi kitu namuacha ajifunze kitu kuwa kaponea chupu chupu kufi.....
Hivi uzio wenye waya wa umeme unazuia kweli vibaka?
Kwenye video hapo chin ya CCTV iliyowanasa vibaka wakivunja fensi ya umeme kwa miguu.
Yani dawa yao hawa kenge ni rottweilers, Pitbull na German shepherd.
View attachment 3408690