Ni simanzi mno kwakweliYani mkuu wee acha tu. Hapo Chini imam wetu kipenzi mkombozi wa waislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu.
Chini hapo akiwaaga vijana wake wapendwq Ali Al- Sajjad ibn Hussain na Ali Al-Akbar ibn Husssain kabla ya umauti Yani Simanzi.
View attachment 3408907View attachment 3408908View attachment 3408909View attachment 3408910
adriz Akhi Al-mukheef Lamborgini Makonde plateu Covax Dabil Wakilli Mufti kuku The Infinity
Huwa wanarudi kivingine kulipa kisasi.Hahahahaaaaa,kama kumfi huwez basi mkate hata kipande cha sikio ili iwe alama ya kudumu au toa sikio lote
Huenda walitaka kumbaka ikashindikana au walimbaka then wakamuua...subeoofer walichukua wapate nauli ya kukimbia.Hii dunia imejaa watu tofauti sana, huko morogoro kuna mafundi wanajenga nyumba ya bosi wao, bosi alivyoondoka wakaingia ndani wakamuua housegirl wakachuku sub woofer ya laki na nusu.
Boss anarudi anakuta maiti na mafundi wamekimbia.
Wezi si wazuri..nilikamata mmoja sikumpiga, nikachukua makaratasi ya plastiki nikayawasha moto..ule uji ulikuwa unadondoka nikawa namdondoshea miguu...baadae nikamwambia aende...atajua mwenyewe😛
Ukiangalia jamaa anavunja fence kutokea ndani na sio nje hivyo ina maana aliweza kuingia kupitia hapo hapo na jibu linakuja kuwa hazikuwa na umeme.Unawasha CCTV camera ila fence ya umeme haina umeme?
Aisee, laki na nusu sijui hata inawapeleka wapi Sasa. Hii dunia ina watu wa ajabu kabisa.Hii dunia imejaa watu tofauti sana, huko morogoro kuna mafundi wanajenga nyumba ya bosi wao, bosi alivyoondoka wakaingia ndani wakamuua housegirl wakachuku sub woofer ya laki na nusu.
Boss anarudi anakuta maiti na mafundi wamekimbia.
Et eee,kwahyo ukiwafanya vibaya inabid uishi kimachaleHuwa wanarudi kivingine kulipa kisasi.