Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ni gari gani ilienda kuzima moto?Nimeziangalia zote mpaka mida naku quote iliyonivutia zaidi ni hii..!! Son, what a legend [emoji1487][emoji1487]
Ni gari gani ilienda kuzima moto?
Nissan PatrolUle umbali kwa hii quality sina uhakika ila yawezekana ni Jeep, mwanzo nlihisi ni G Class ila nimerudia naona hii kiasi ni pana na haijachongoka.