Nilitaka kumwambia hivo hivo huyu rafiki yangu Mnyakyusa, anazifahamu zile mbaula za miaka 90 zile 109 Landlover? Zilikua zinapanda ile milima ya UPOROTO na ile milima ya kwenda UKINGA kupitia ile njia ya Ushirika Tukuyu, ni noumer, halafu kamvua kawe kamenyesha nyesha hivi, jamaa wanapanda kwa reverse. Kweli siku hizi hatujui kuendesha magari bhana