Video vixen Nai akumbuka bata la Sabaya

issenye

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
3,788
Reaction score
5,217

Nai Akumbuka Bata la Sabaya​



Bado kifungo cha miaka 30 jela kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni gumzo Bongo.

Naye mrembo ambae ni video vixen na mjasiriamali, Nai ameibuka na kumuonea huruma mkuu huyo wa wilaya.

Nai ametumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha masikitiko yake hayo, kwa kuposti picha ya Sabaya na kuandika ujumbe unaotafsrika kwa Kiswahili; “Hakuna mkamifu, Mungu akusimamie…”

Nai ameweka wazi kuwa, atakumbuka bata alilokuwa akimpa alipokwenda jijini Arusha.
Cc; @sifaelpaul



 
Bila shaka alikuwa akimuuzia mbunye kwa fedha alizokuwa akipora watu kibabe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…