Wajerumani ndiyo walikuwa na faida hawa walikua wachumia tumbo lao tuWangebaki kidogo Hawa jamaa
Mwalimu alikuwa karibia miaka 39 hivi. Kuongoza nchi kwa umri huo kunahitaji umahiri na busara nyingi sana. Watu wengi duniani wangepata changamoto nyingi sana zinazotokana na umri tu, achilia mbali matatizo ya kuongoza serikali, nchi na chama cha siasa!