GE2025 Video: Wajumbe wawafanyia ubaya ubwela wabunge wa COVID-19

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Nimewasogezea vipande kadhaa vya picha mjongeo , vikiwaonyesha WAJUMBE hatari wa fisiemu wakifurahia matokeo ya mchakato wa kura za maoni , hasa baada ya kuwafanyia kitu mbaya wabunge wa COVID-19, ester Bulaya, Ester matiko , Nusrat Hanje bila kumsahau bilionea wa nzega mzee wa sinki nje ya box "Hamis kigagula HK"

KULENI VYUMA HIVYOOOOO👇
 

Attachments

  • Wajumbe ndyo mida yao ya kujidai sasa.mp4
    2.5 MB
  • WAJUMBE WANASEREBUKA NA WEWE UTAZANI WANAKUKUBALI MWISHO WA SIKU WANA KUBABALEVO SHWAAAAAA😁😁😂.mp4
    2.7 MB
  • AQOD4m7pmcA4BvjjVD79TRCg20JoPE300Pp_iM8s52XX9jz5_rEYN7EanqFh8L_K1JRL52VE8JTSOuzi0mo4wEKfWgEYqD...mp4
    2.5 MB
Hii nchi ni kituko..
Huyo mzee video ya tatu anaeyarudi humwambii kitu kuhusu chama cha mapinduzi anajua kipo kama enzi za nyerere,....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…