Video: Wale mnaopenda movie za Mafarasi hivi ndivyo mnavyodanganywa

Unajua kuna wazee hawaamin kama wale ni watu,kuna babu alikuwa anasema ile ni midoli,binadamu hawez fanya hvyo mbele ya camera
Ni kweli, lazima nati kadhaa ziwe hakuna kichwani ndio ufanye ule umaruhuni, just imagine mwanaume unawezaje kumpiga mtu kende, nyuma kuna kidume mwenzio anachukua video, yupo karibu kabis na mchonyo... Unapata wapi mguvu za kuendelea na show.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…